Category: Makala
Rais Magufuli asiwaogope manabii wa wakwepa kodi
Wakati wa kudai Uhuru, wapo Waafrika waliodhani mapambano yale yasingefanikishwa na Waafrika. Waafrika shupavu kwa pamoja na Wazungu na Waasia wachache walipounganisha nguvu kuutokomeza ukoloni, bado kukawapo watu walionekana kutofurahishwa na hatua ya kujitawala! Kwa kutofurahishwa huko, wakaamua kuwa vibaraka…
Yah: Demokrasia inaongozwa na sheria tulizojiwekea kikatiba
Wiki jana, niliandika juu ya nafasi ya kufanya mikutano ya kidemokrasia iliyopigwa marufuku muda wa kazi, niliandika kutokana na kumbukumbu mbalimbali za ujana wetu miaka ile dahari ya mfumo wa chama kimoja, ambapo tulikuwa na hiyari ya kuchagua jembe au…
Anayempenda baba tumfanye mama
Lugha yetu ya Kiswahili haina uchache wa maneno katika matumizi ya kila siku kiasi cha kumfanya mtumiaji wa lugha hii kupata shida na kuchanganya maneno mawili au zaidi kukusudia kuelezea jambo moja; na kuleta mgongano wa mawazo kwa msikilizaji au…
Kijijini sema baba yako mjinga uone cha moto
Demokrasia ni dhana nzuri sana pale ambako wote tunakubaliana juu ya maana na mipaka yake. Tatizo ni kuwa si wakati wote huwa tunaafikiana juu ya maana na mipaka yake. Nguzo moja ya kulinda na kujenga demokrasia ni uhuru wa raia…
Tanzania tumefikishwa mahali pabaya
Kama tujuavyo, jina Tanzania lina maana mbili. Kwanza Tanzania ni Taifa, na Taifa ni jamii ya watu huru walio chini ya utawala mmoja. Hapa tutaendelea kuwashukuru Mwalimu Julius Kabarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume walioongoza kwa usalama juhudi za…
Ndugu Rais tengua kauli yako
Ndugu Rais, tumwombe Mwenyezi Mungu atufundishe kunyamaza kwa sababu katika kunyamaza kuna kutafakari ili tusije tukamuudhi Muumba wetu katika kujibu. Hakuna hata mmoja kati yetu aliyeomba azaliwe katika nchi hii. Tumekutana hapa kwa mapenzi ya Mungu mwenyewe tu. Hivyo, hakuna…