Category: Makala
Yah: Bajeti nzuri na ya kweli japokuwa imewasahau wakubwa
Nimefarijika kusikia bajeti ikisomwa na waziri wa Wizara ya Fedha anayesifika kwa misimamo ya uzalendo. Ni bajeti ya kwanza kabisa ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoakisi utendaji kazi wa awamu ya tano kwa kaulimbiu ya ‘hapa kazi tu’ ya…
Ni hofu au demokrasia?
“Demokrasia si sawa na chupa ya soda aina ya Coca- Cola ambayo unaweza kuagiza kutoka nchi za ng’ambo. Demokrasia inapaswa kujiongoza na kujiendesha kwa mujibu wa mazingira ya nchi husika.” Maneno haya yalizungumzwa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwezi Juni,…
Hata kwao Mohammed Ali wapo wachawi
Mwanamichezo na mwanamasumbwi mashuhuri Mohammed Ali ameugua kwa muda mrefu na kufariki hivi karibuni na tayari wanatafutwa wachawi wake. Si uchawi ule tuliozowea kuusikia Waafrika lakini ni uchawi unaokuzwa na kushamiri kwa sababu binadamu wote asili yao moja na hata…
Hatunacho tena kisiwa cha amani
Sasa kwetu Tanzania ni mauaji tu kila mahali. Na kama hakuna mauaji basi utasikia vurugu bungeni, vyuoni na maeneo mengine. Ile sifa kwamba Tanzania ni kisiwa cha amani haiko tena. Kila mtu anaishi kwa hofu na wasiwasi. Mchungaji wa wanyama…
Ulinzi wa nchi yetu jukumu letu sote
Jeshi la Polisi, kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, linapaswa kujipanga kikamlilifu kukabiliana na matukio ya mauaji yanayolikumba Taifa katika kipindi kifupi sasa. Leo nimekumbuka uzalendo wa nchi yetu miaka kadhaa iliyopita. Nimekumbuka uzalendo kwa maana ya kila…
Maisha yanaongozwa na malengo.
Maisha ni malengo. Hakuna maisha ya mkato. Ishi kwa malengo. Tusiishi kwa sababu tunaishi. Tuishi kwa malengo, kwa sababu Mungu ametuumba tuishi kwa malengo. Ungana na Henry James kuamini maneno haya; “Ni muda mwafaka wa kuishi maisha ambayo umeyafikiria kwa muda…