Category: Makala
Uhuru ni haki na ukweli
Unaponyima haki kutendeka ukweli unaruhusu dhuluma na unabariki upendeleo kutawala unafsi. Ni sawa na kufanya choyo, hiyana na batili kwa mtu mwengine. Uamuzi au tendo la jambo kama hilo, ukweli unahalalisha chuki kujijenga, unaruhusu mgawanyiko wa watu na unavunja udugu,…
Trump: Jipu kubwa Marekani
Alivyoanza alionekana kama mtoto anayeng’ang’ania kukesha kwenye ngoma ya watu wazima, lakini katika mchakato wa uchaguzi unaoendelea nchini Marekani sasa, Donald Trump anatishia kusambaratisha hali iliyozoeleka kwenye siasa za taifa hilo. Si mara ya kwanza kwa Trump kujaribu kugombea nafasi…
Maskini anapopuuza kunyimwa misaada!
Machi 28 mwaka huu, Serikali ya Marekani ilisitisha na kuvunja uhusiano wake na Serikali ya Tanzania katika mambo yote yanayohusu miradi ya mfuko wa Changamoto za Milenia (MCC) kwa kuondoa dola za Kimarekani milioni 472.8 (zaidi ya shilingi trillion 1…
Hifadhi ya Taifa Serengeti inakufa
Hifadhi ya Taifa Serengeti, iliyowavuta maelfu kwa maelfu ya wageni kutoka ndani na nje ya nchi yetu, inakufa. Tofauti na wengi wanavyodhani, athari za ujangili Serengeti si kubwa wala tishio kwa uhai wake, isipokuwa kinachoiua Serengeti ni siasa na wanasiasa!…
Mazuri ya Cuba yasiyosemwa
Machi 21 na 22 mwaka huu, Rais Barack Obama wa Marekani alifanya ziara ya kihistoria nchini Cuba. Ya kihistoria kwa sababu hii ilikuwa ziara ya kwanza ya Rais wa Marekani nchini Cuba tangu miaka 88 iliyopita. Mara ya mwisho ilikuwa…
JKN na JPM wanalingana?
Nimekuwa nikisikia, nimesoma katika magazeti na hatimaye ninajiuliza hivi ni kweli viongozi hawa wanalingana? Ulinganisho mara nyingi unakuwa kwa vitu vya aina moja. Katika ulinganisho kuna vigezo vinavyokubalika. Inapokuja kulinganisha utawala wa viongozi mbalimbali hapo kunatakiwa uangalifu wa hali ya…