Category: Makala
Mwafrika bado “Le Grande Enfante” (2)
Ghafla juzi juzi wakati Waziri Mkuu keshatoa hotuba yake kuomba fedha kwa ofisi yake, nikashtuka kusikia kuwa Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, badala ya kutoa hotuba mbadala wa ile ya Waziri Mkuu, eti ameongea kwa dakika chache tu…
Video iliyonitoa machozi
Muda ni saa 3:35 usiku wa Ijumaa ya wiki iliyopita. Nimejipumzisha barazani baada ya kupambana na foleni za Dar es Salaam. Simu yangu inaashia kuingia kwa ujumbe wa WhatsApp. Nafungua na kuanza kuusoma: “Kuna njia gani ya kuwapata hawa wanaume…
Wabunge na ulimi wa pilipili
Wasia nnautoa, baba alivyonambia. Nieleze sawa sawa, nanyi mpate sikia. Wa kwaonya enyi sawa, inafaa kusogea. Jambo la kwanza kasema, majivuno hayafai Muovu mtendee wema, japo mtu humnunui Mjivuno ni hasama, yanaleta uwadui. Dini ni jambo la pili, baba alivyonambia,…
Yah: Heshima itarudi, wanaoweweseka ni wale wachache, wezi
Kwanza nianze kwa kupongeza juhudi kubwa inayofanywa na viongozi wachache wenye moyo wa uzalendo na Taifa hili, pili niwapongeze Watanzania wengi ambao mnaunga mkono juhudi hizo pasi na kununuliwa na watu wachache, ambao wao walidhani nchi hii ni yao na…
Wajasiriamali na uwezo wa kupunguza rushwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni kuhudhuria mkutano wa viongozi wa dunia kujadili tatizo la rushwa. Tatizo la rushwa lipo katika kila pembe ya dunia na ni mojawapo ya matatizo ambayo Serikali ya Rais John Magufuli…
Kanisa la Wasabato linapodhulumu …
Mimi Baraka Mukundi, mkazi wa Arusha niliajiriwa na Kanisa la Wasabato Makao Makuu Arusha, Tanzania mwaka 1986. Niliendelea kufanya kazi na kanisa hilo katika vitengo vyake mbalimbali kwa kadri walivyokuwa wakinipangia kazi kulingana na taratibu za Kanisa za ajira. Kipindi…