Category: Makala
Yah: Magufuli; kama uchaguzi ukiamriwa urudiwe TZ, kubali
Mwanangu Magufuli kutoka Chato, uliyekuja mjini kwa gea ya ubunge, umeleta kizaazaa mjini hata watoto wa mjini sasa wanahaha na sampuli ya Msukuma wewe, eti “hapa kazi tu” asiyeweza aanze mwenyewe kuondoka. Nasikia misemo mingi sana – kuna kugufulika, tingatinga,…
Mabadiliko mengine si ya kulazimishwa
Kwenye kitabu chake What is not sacred? (Kipi siyo kitakatifu?) mwandishi na mwanazuoni Padri Laurenti Magesa anajenga hoja kuwa mila na tamaduni za Waafrika wanaoishi chini ya Jangwa la Sahara hazikupewa uzito unaostahili pale jamii hizi zilipofikiwa na dini kutoka…
Namna ya kumzuia mwenzako katika ndoa kuuza nyumba
Upo wakati kwenye ndoa ambako mmoja wa wanandoa anaweza akawa anataka kuuza au kubadili jina la nyumba/kiwanja bila ridhaa ya mwenzake ilhali nyumba hiyo ni ya familia. Lakini pia nje ya hilo kuna mazingira ambayo mtu anaweza kuwa si mwanandoa,…
Rais Magufuli nakuomba upitie hapa
Kasi aliyoanza nayo Rais wa Awamu ya Tano, Mheshimiwa Dk. John Magufuli inatia moyo. Kama kweli kelele zote za kutaka mabadiliko zilikuwa za kweli bila ajenda nyuma ya pazia ni wakati mwafaka wa kumuunga mkono kwa kasi hii aliyoanza nayo…
Vita dhidi ya ujangili imguse kila Mtanzania
Kati ya mambo makuu yanayodhoofisha juhudi za kuhifadhi wanyamapori, hususan kupambana na ujangili, ni kutoonekana kumhusu mwananchi wa kawaida. Juhudi za uhifadhi na kumpambana na ujangili zinaonekana kutomhusu Mtanzania wa kawaida kwa sababu mbalimbali, na hasa yafuatayo: Jambo la kwanza…
Watanzania walijipanga kuikataa CCM
Wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu, Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjemin Mkapa, akiwa Tanga alisema kwamba dunia ingeshtushwa kama ingesikia kwamba Watanzania wamekiangusha chama kikongwe kama CCM. Alisema kwamba CCM ni chama cha ukombozi kinachoendelea kuwakomboa Watanzania. Lakini…