Category: Makala
Kikwete alitupuuza?
Tulikuwa na Rais ambaye hakuona mbali kuna wakati tuliambiwa kuwa tusiwazungumzie marais wastaafu hata kama hawakufanya vizuri wakati wa utawala wao. Tuwaache wapumzike. Kwa Tanzania si kweli kwamba kuna Rais mstaafu ambaye anapumzika baada ya kumaliza muda wake. Wote wanajihusisha…
Agizo la Magufuli: MSD yaonesha njia
Kwa jinsi ilivyotekeleza maagizo ya Rais John Pombe Magufuli, Bohari ya Dawa nchini (MSD) imedhihirisha kuwa watumishi wa umma wakiongozwa vyema, Tanzania inaweza kupata maendeleo ya kasi. Taarifa zilizoifikia JAMHURI zinaonesha kuwa baada ya Rais Magufuli kuagiza zilizokuwa fedha za…
Kuuza ardhi ni kuuza uhuru
Kuuza au kukodisha ardhi ni sawa na kuuza au kukodisha uhuru. Katiba za mataifa ya Afrika zinatakiwa zipige marufuku hizi sera za ufisadi wa kisaliti za uuzaji na uwekaji rehani wa ardhi; kwani ardhi ni mali ya wananchi (si ya…
Bomoabomoa na kibwagizo cha ‘Hapa kazi tu’
Wakati majonzi, vilio na watu kupoteza fahamu kutokana na kubomolewa nyumba zao zilizojengwa bila kufuata utaratibu kwenye maeneo ya wazi na hifadhi ya barabara katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam huku kibwagizo cha ‘Hapa Kazi Tu,’ kikinogesha kazi hiyo,…
Siasa za Zanzibar ni za aina yake (2)
Ili kudhihirisha kuwa Zanzibar kuna tofauti za kiitikadi za kihistoria na hasa kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba hapa kuna mifano ya matokeo ya chaguzo zilizofanyika Zanzibar tangu 1957 mpaka 2010. Katika uchaguzi wa kwanza 1957 ASP walipata viti…
Tupigane vita hii kwa umoja
Waandishi wa habari hutakiwa wazingatie miiko na maadili ya uandishi wanapofanya kazi zao. Baadhi ya mambo wanayotakiwa kuyazingatia ni kuhakikisha wanatenda haki sawa kwa wanaowaandika. Kwa maneno mengine ni kwamba wanatakiwa watoe fursa ya kusikiliza kila upande unaoguswa kwenye habari…