Category: Makala
Matokeo ya urais somo kwa CCM
Uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umehitimishwa kwa mujibu wa taratibu zilizopo, na Dk. John Pombe Joseph Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye rais wetu mpaka uchaguzi mwingine utakapofanyika. Kwa mara ya kwanza ya historia yake…
Pongezi zangu kwa Dk. Magufuli
“Hayawi, hayawi, yamekuwa”. Kweli hayo ndiyo mapenzi yake Mwenyezi Mungu. Ulimtanguliza mbele wakati wa kampeni zako na sasa yametimia. Kusema kweli kumtanguliza na kumweka mbele Mwenyezi Mungu kuna faida nyingi. Nimezoea kuwaambia watoto wangu kuwa “kama baba awahurumiavyo watoto wamchao”,…
Tumepataje amani, tunaidumishaje?
Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na amani tele ndani ya Taifa letu na katika jamii na familia zetu. Kusema kweli Mwenyezi Mungu ni mwema sana kwetu ndiyo maana tunatakiwa tumshukuru kila wakati na kulisifu jina lake takatifu…
Hatari hii kuwakuta Watanzania 70,000
Watanzania takribani 70,000 kati ya 800,000 wanaotumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi (ARVs) huenda wakapoteza maisha ifikapo mwaka 2017. Hatua hiyo inatokana na Serikali kutenga kiasi cha asilimia 9.1 pekee katika bajeti ya sekta ya afya ya…
Lubuva kumfuata wakili Kivuitu?
Jumapili iliyopita Oktoba 25, mwaka huu ilikuwa ni siku ya kihistoria kwa Watanzania waliojitokeza kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu hapa nchini kwa kuwachagua viongozi wanaowataka katika nafasi ya rais, ubunge na udiwani. Uchaguzi huu umetawaliwa na matukio mengi ambayo yanatoa…
Uchaguzi umeisha, sasa tufanye kazi
Katika baada ya kipindi hiki cha miezi miwili hakika tumeshuhudia mtifuano wa wanasiasa waliochuana kutangaza sera na ahadi ili kupata nafasi ya kuongoza nchi. Sera zote zililenga kumkomboa Mtanzania dhidi ya maadui watatu wa tangu Uhuru ambao ni ujinga, maradhi…