JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

MUSSA ZUNGU AZZAN: Injinia wa ndege aliyejikita katika siasa

*Barabara duni Ilala zamnyima usingizi   Amejikita zaidi katika masuala ya siasa, lakini taaluma yake ni ujuzi na maarifa ya kuunda, kutunza, kutengeneza na kuongoza mitambo ya ndege. Unaweza kumwita injinia wa ndege.   Huyu si mwingine bali ni Mussa…

Yah: Tunahitaji utashi, si lazima kuishi kama kenge

Kuna wakati huwa najiuliza maswali mengi ambayo kimsingi naona yanajibiwa na idadi kubwa ya shule za misingi, sekondari na vyuo vikuu vilivyopo. Najiuliza tuna wasomi wangapi?

NUKUU ZA WIKI

 

Julius Nyerere: Nina haki ya kupiga na kupigiwa kura

 

Watanzania tupande miti kukuza uchumi

Tanzania Bara ina eneo la hekta zaidi ya milioni 94.7. Wakati tunapata Uhuru Desemba 9, 1961 sehemu kubwa ya ardhi ilikuwa imefunikwa na misitu na mapori. Waingereza walioitawala Tanganyika baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia iliyoanza mwaka 1914 hadi 1918, waliweka Sera ya Misitu mwaka 1953.

Mtoto na malezi (1)

Mtoto ni malezi. Mtoto akilelewa katika malezi mazuri atakuwa na maadili mazuri. Mwanafalsafa Anselm Stolz alipata kusema, “Ukimpa mtu samaki atamla mara moja, lakini ukimfundisha kuvua atakula samaki kila siku.”

Chakula cha bure: Falsafa ya Pinda!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ameiagiza Wizara ya Maliasili na Utalii kuhakikisha inaisimamia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ili igawe chakula cha bure kwa kaya 20,000 zinazoishi katika Tarafa ya Ngorongoro.