Category: Makala
Tunaongoza kwa sikukuu nyingi zisizo na tija
Kufanya kazi ndiyo msingi wa maisha yetu ya kila siku, hususan jamii yetu ya Kitanzania ambayo wimbo mkubwa ni ukosefu wa ajira pamoja na ugumu wa maisha unaoongezeka kila kukicha.
Tumeruhusu mauaji ya viongozi wa makanisa
Katika historia, Tanzania hakijatokea kipindi ambacho udini umepewa nafasi kubwa ya kuvuruga amani ya Tanzania kama kipindi hiki.
Ziwa Victoria hatarini, tushirikiane kulinusuru
Tanzania imejaaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na rasilimali lukuki za kila aina. Rasilimali hizi ni pamoja na wanyama, milima, ardhi nzuri, mito, watu, maziwa, ndege, bahari, samaki na madini ya aina mbalimbali.
Mkuu Usalama wa Taifa aking’oka tutapona?
Katika Gazeti la Raia Mwema la Februari 20-26, 2013, kuna makala yenye kichwa cha habari kisemacho “Mkuu wa Usalama wa Taifa Ang’oke”.
Utawala Bora hutokana na maadili mema (4)
Katika “decentralization” kulitokea vituko katika utawala. Mtu kama daktari wa mifugo kasomea mifugo (shahada ya veterinary) eti anateuliwa kuwa Afisa Tawala Mkuu wa Mkoa (Regional Administrative Secretary). Mkuu wa shule ya sekondari anateuliwa kuwa Afisa Utumishi Mkoa (Regional Personnel Officer) na kadhalika, na kadhalika. Utawala wote ukavurugika mara moja.
NUKUU ZA WIKI
Nyerere: Tuwe makini kuchagua viongozi “Hatari moja ya kuendelea kumchagua mtu yule yule kipindi hata kipindi huweza kuleta hofu na wasiwasi nchini.” Haya ni maneno ya Baba wa taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Gurdjief: Binadamu huwa anabadilika “Binadamu hawezi…