Category: Makala
Nyerere: Tuoneshe demokrasia kivitendo
“… ingawa kwa nadharia muundo wa Chama chetu (akimaanisha CCM) ni wa kidemokrasia, lakini katika vitendo hatuonyeshi demokrasia wakati wote na kwa shughuli zetu zote.”
Maneno haya ni ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambayo ni sehemu ya wosia wake wa kuitaka CCM ijenge dhana ya kuonesha demokrasia ya kweli kwa vitendo.
UN na jitihada za kuisaidia Tanzania
Tanzania ni nchi tajiri kwa rasilimali, na licha ya pato lake kukua mwaka hadi mwaka, wananchi wake ni maskini.
Nguvu ya rangi katika biashara zetu
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Miaka michache iliyopita, kampuni moja ya hapa Tanzania ilitambulisha bidhaa zake za juisi zilizokuwa zikifahamika kama “Yebo”. Juhudi kubwa ilielekezwa katika kuitangaza…
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
Habari mpya
- Wanafunzi St Anne Marie Academy watoa msaada kituo cha yatima Dar
- Trump atangaza kuiondolea vikwazo vyote Syria
- Wanafunzi wa kidato cha sita 130 Milambo sekondari watimuliwa
- Rais Samia, hili la msamaha wa faini za ankara za maji, umekonga nyoyo za wananchi
- MOI kutoa matibabu bure siku saba Mbagala
- Jafo aonya vijana kunywa pombe kupita kiasi
- Runali chagawa pembejeo 3000 kwa wakulima zao korosho Nachingwea
- Uboreshaji bandari ya Karema unaofanywa na Serikali kupitia TPA wavutia wawekezaji
- Abiria 1,200 wanusurika ajali ya treni mjini kwenda Pugu, 10 wakimbizwa hospitali
- Ubovu wa barabara Arusha, kikwazo cha maendeleo, usalama na hadhi ya Jiji la Kitalii
- Rais wa Finland kuanza ziara kesho nchini kwa mwaliko wa Rais Samia
- Rais Samia aongoza Watanzania mazishi ya hayati Cleopa Davis Msuya wilayani Mwanga
- Dk Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi
- Siasa zisiingizwe JWTZ
- Rais Samia aongoza Watanzania maziko ya Cleopa Msuya