Category: Makala
UN na jitihada za kuisaidia Tanzania
Tanzania ni nchi tajiri kwa rasilimali, na licha ya pato lake kukua mwaka hadi mwaka, wananchi wake ni maskini.
Nguvu ya rangi katika biashara zetu
Leo nitawapitisha wajasiriamali katika somo muhimu kuhusu rangi. Je, unafahamu chimbuko la neno yeboyebo hapa nchini? Twende pamoja. Miaka michache iliyopita, kampuni moja ya hapa Tanzania ilitambulisha bidhaa zake za juisi zilizokuwa zikifahamika kama “Yebo”. Juhudi kubwa ilielekezwa katika kuitangaza…
Serikali isipuuze, udini upo, iuthibiti (4)
Wiki iliyopita nilieleza chanzo na sababu za kuwapo kwa udini nchini, jinsi ulivyopandwa na kupaliliwa hadi kumea na kuwa mgumu kama kisiki cha mti aina ya mpingo.
Muungano ndiyo mboni ya Tanzania (1)
Ipo methali moja ya Kiswahili isemayo, “Usipoziba ufa utajenga ukuta”. Methali hii ina fundisho kubwa sana katika maisha yetu ya kila siku.
Nyangwine amkosoa January Makamba
*Asema kauli yake inabagua wazee CCM
*Aahidi kumuunga mkono mzee Wasira
Kauli iliyotolewa na Mbunge wa Bumbuli, January Makamba, kwamba mtu yeyote aliyezaliwa mwaka 1961 hapaswi kuwa Rais wa Tanzania, imemkera Mbunge wa Tarime, Nyambari Nyangwine.
ADC: Tutajipima Uchaguzi Mkuu 2015
*Limbu atamba kudhibiti makundi
Wakati Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) vikitamba kung’ara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2015, Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kimesema muda wa miaka mitatu uliobaki unatosha kujipanga kutwaa uongozi wa nchi.
- Mkazi wa Magomeni ashinda gari Ford Ranger kupitia Kampeni ya Tembocard ni Shwaa ya CRDB
- Watu 232 wapata huduma ya uchunguzi na matibabu moyo banda la JKCI Sabasaba
- Anitha Waitara aingia kinyang’anyiro cha ubunge Kivule, aahidi kutatua kero ya miundombinu
- Wafanyakazi wa majumbani 700 watunukiwa vyeti vya mafunzo ya VETA
- Samia Infrastructure Bond kuwezesha qakandarasi wazawa kitekeleza miradi kwa wakati
Habari mpya
- Mkazi wa Magomeni ashinda gari Ford Ranger kupitia Kampeni ya Tembocard ni Shwaa ya CRDB
- Watu 232 wapata huduma ya uchunguzi na matibabu moyo banda la JKCI Sabasaba
- Anitha Waitara aingia kinyang’anyiro cha ubunge Kivule, aahidi kutatua kero ya miundombinu
- Wafanyakazi wa majumbani 700 watunukiwa vyeti vya mafunzo ya VETA
- Samia Infrastructure Bond kuwezesha qakandarasi wazawa kitekeleza miradi kwa wakati
- Sagaff ajitosa kumrithi Mavunde Dodoma Mjini
- Naibu Waziri Mwanaidi Aki Khamis achukua fomu kugombea ubunge Viti Maalum
- Serikali ya Awamu ya Sita yamwaga Trilioni 1.1 Kagera, miradi 28 ya kimkakati yatekelezwa
- Wanajeshi DRC wadungua ndege ya misaada ya kibinadamu Kivu ya kusini
- Zaidi ya watu milioni 14 wanaweza kufa kwa kukosa misaada
- Rais Samia, Tume ya Umwagiliaji na Uchaguzi Mkuu
- UDOM yatoa elimu ya ulaji bora kupunguza magonjwa yasiyoambukiza
- Iran yalaumiwa kwa vitisho dhidi ya IAEA
- Amuua mchungaji kwa kuchoka kuombewa muda mrefu bila kupona, Polisi wamshikilia
- Aliyekuwa mhasibu kituo cha afya Endagwe Babati afikishwa kizimbani kwa rushwa
Copyright 2024