JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mwandishi akumbuka Ebola ilivyotisha DRC

Wiki iliyopita Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walitangaza kuruhusiwa kutoka hospitalini mtu wa mwisho aliyekuwa ameambukizwa Ebola, ugonjwa hatari ambao umeua maelfu ya watu barani Afrika.  Hiyo ni moja ya dalili…

Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo

Siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi. Kutokana na hali hiyo, Bandari imebaini kwamba, kwa kuwa Tanzania inaingia kwenye uchumi wa viwanda kwa kasi, kuna uwezekano kuwa baadhi ya watu wanazalisha…

Ndugu Rais, baba akicheza reggae na wanae kuna ubaya gani?

Ndugu Rais, nianze kwa kuwapa pole wanawema wote walioguswa na yaliyosemwa juu ya andiko langu katika mtandao.  Ni kweli sina utaratibu wa kuingia katika mitandao mara kwa mara. Hata hivyo kwa haya yaliyotokea na kwa namna yalivyotokea, yamenifariji sana. Si…

Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (1)

Bakwata ni kifupisho cha Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania, chombo cha kudumu kilichoundwa mwaka 1968 kuratibu, kusimamia na kuongoza shughuli zote za Waislamu nchini Tanzania (Tanzania Bara) kwa lengo la kutekeleza wajibu wa Waislamu wa kuendeleza na kuimarisha itikadi…

Si mwisho wa dunia lakini joto tunalisikia

Dini zote kuu hutaja siku moja ambayo maisha ya binadamu na matukio ya dunia yatafikia kikomo. Zinaonekana dalili kama tunakaribia huko. Nimekumbuka hili niliposikia tetemeko la ardhi likitikisa Butiama. Dini za chimbuko la Abrahamu zinafundisha kuwa mwisho wa kila kitu…

Hatua za kufuata unaponunua kiwanja/nyumba

Mara nyingi nimeandika kuhusu ardhi, hususan viwanja na nyumba. Katika kufanya hivyo, mara kadhaa nimejaribu kuwatahadharisha watu namna mbalimbali ya kisheria ya kuepuka kuingia katika migogoro ya viwanja na nyumba, hasa wakati wa kununua (wanunuzi).  Nimewahi kueleza vitu vya msingi…