Category: Makala
Changamoto za majina maarufu
Kwenye Mkutano wa 18 wa Bunge uliopita, Mchungaji Peter Msigwa, Mbunge wa Iringa Mjini (CHADEMA) aliongea bungeni na kuhoji uamuzi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kutumia wasanii Watanzania kutangaza vivutio vya utalii nchini. Mchungaji Msigwa alisema kuwa wasanii hao…
Jifunze kushukuru katika maisha (1)
“Shukrani ni fedha ambayo tunaweza kujitengenezea sisi wenyewe na kuitumia bila kuogopa kufilisika.” – Fred De Witt Van Amburgh Siku moja kipofu alikuwa anasafiri. Akakutana na barabara mbaya sana. Akasimama akawaza sana. Akajiuliza nitawezaje kusafiri katika barabara mbovu kiasi hiki…
Bado Muhandiki ni mhimili wa ushirika
Yamesemwa mengi baada ya mzee Arhard Felician Muhandiki kukatwa mguu kutokana na maradhi yaliyompata. Kuna baadhi ya watu walifurahia sana tukio hilo wakidhani kuwa hiyo itakuwa nafuu kwao kwa jinsi alivyokuwa amewakalia kooni katika walichokiona kama fursa kwao. Kwa muda…
Sijajua Watanzania tunachotaka
Mwalimu Julius Nyerere aliamini katika dhana ya maendeleo ya watu, na si maendeleo ya vitu. Dhana hii imepewa tafsiri nyingi. Wapo wanaoamini kuwa Mwalimu hakutaka kuona barabara, majengo makubwa makubwa na miradi mingine yenye thamani ya mabilioni ya fedha. Lakini…
Vijana ni wajenzi, wachafuzi wa nchi
Vijana ni nguvu kazi na viongozi wa taifa lolote duniani. Ni walinzi na wana utamaduni wa nchi yoyote duniani. Sifa ambazo wanazo tangu zama hadi sasa. Lakini kihistoria na kisiasa inaeleweka wajenzi wakubwa wa dunia ni vijana na wachafuzi wakubwa…
Yah: Polisi msipokwenda na wakati kazi itakuwa ngumu sana
Kwanza nianze kwa kuwashukuru kwa kusoma waraka wangu na niwatakie siku njema ya leo na ikawe na baraka kwenu nyote. Mimi si mtu wa kusali sana, lakini ninajua kuwa Mungu yupo na anatulinda sana. Kwa sisi wachache ambao tumefanikiwa kuishi…