Idadi ya wapiga kura Jimbo la Bukombe – Geita ni 7, 845

Wajumbe waliohudhuria 7456
Wajumbe wasiohudhuria 389
Idadi ya kura zilizopigwa 7456
Idadi ya kura zilizoharibika 15
Idadi ya kura halali 7441

✅ KURA ZA NDIO 7441
✅ KURA ZA HAPANA 00

WASTANI WA WAPIGA KURA WALIOJITOKEZA NI 95.04%

WASTANI WA USHINDI NI 99.8%