Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kuhusu habari za uchunguzi kutoka kwa Mhariri Mtendaji na Mkurugenzi wa Gazeti la Jamhuri Bw. Deodatus Balile wakati akikagua mabanda ya maonesho katika Mkutano wa Mabaraza Huru ya Habari Afrika unaofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Tarehe 15 Julai 2025.