WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 22, 2026 amepanda mti aina ya Mchungwa katika eneo la Rest House ya Polisi mkoani Kilimanjaro.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amemaliza ziara yake ya kikazi mkoani Kilimanjaro jana Februari 21, 2026.