Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoketi Jijini Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 26 Mei 2025.