



Sehemu ya Wananchi wa Mafinga Wilayani Mufindi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 06 Septemba, 2025 ili kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amewaomba kura za ndiyo ili wamchague katika uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2025 nchini kote.
Rais Dkt. Samia ameahidi kuwajengea stendi ya kisasa ya mabasi ili kurahisisha shughuli za kiuchumi katika mji huo, mkoa na taifa kwa ujumla.






S