Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU) Bw. Parfait Onanga-Anyanga, tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU) Bw. Parfait Onanga-Anyanga, tarehe 11 Machi, 2026 Ikulu ya Chamwino, Dodoma.