Dk Samia akiweka shada la maua kaburi Hayati Mwalimu Julius Nyerere
JamhuriComments Off on Dk Samia akiweka shada la maua kaburi Hayati Mwalimu Julius Nyerere
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasha mshumaa katika Kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka shada la maua katika Kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiomba dua kwenye Kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Kijiji cha Mwitongo, Butiama mkoani Mara tarehe 10 Oktoba, 2025.