Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Nzega katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Tabora tarehe 10 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Nzega mkoani Tabora tarehe 10 Septemba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Nzega waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Tabora tarehe 10 Septemba, 2025.