Dk Samia akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba
JamhuriComments Off on Dk Samia akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kisiwani Pemba, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu za CCM, katika Viwanja vya Gombani ya Kale, Wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 20 Septemba, 2025.