Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan azuru Kaburi la Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Butiama mkoani Mara