

Muonekano wa Flyover ya Kwanza ya Dk Hussein Ali Mwinyi iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi katika katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”.

Muonekano wa Flyover ya Kwanza ya Dk Hussein Ali Mwinyi iliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi kulia akipatiwa Maelezo na Mkandarasi katika hafla ya Ufunguzi wa Flyover ya Kwanza ya Dk Hussein Ali Mwinyi katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Flyover ya Kwanza iliopewa Jina la Dk Hussein Ali Mwinyi katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Dk Khalid Salum Mohamed akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Flyover ya Kwanza iliopewa Jina la Dk Hussein Ali Mwinyi katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”.

Baadhi ya Waheshimiwa Mawaziri waliohudhuria katika Ufunguzi wa Flyover ya Kwanza iliopewa Jina la Dk Hussein Ali Mwinyi katika eneo la Mwanakwerekwe. Ikiwa ni katika Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye kauli mbiu “Amani na Umoja ndio Msingi wa Maendeleo yetu”

