JamhuriComments Off on Hamasa kubwa ya mapokezi ya Dk Samia Mbinga
Mgombea Ununge wa Jimbo la Mbinga Judith Kapinga akiserebuka na wananchi wa Jimbo lake wakati wa mapokezi ya Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan mjini Mbinga ambapo atawahutubia wananchi na kuwaomba kura.