Na Mwandishi Wetu

KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa.

Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za CCM wilaya ya Kilolo.