Wafanyakazi wa Kampuni ya Jamhuri Media wakimuombea aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni hiyo marehemu John Sabi Nzuryo yaliyofanyika katika Wilaya ya Butiama, Kata Kamgegi, Kijiji cha Kamgegi, Mkoa wa Mara yaliyofanyika leo Desemba 19, 2025.
Mgurugenzi mwenza wa Kampuni ya Jamhuri Media, Manyerere Jackton ( wa pili kushoto) pamoja na wafanyakazi wa Jamhuri Media wakiweka shahada la maua kwa aliyekuwa mfanyakazi wa kampuni hiyo marehemu John Sabi Nzuryo.