Lazarus Chakwera Rais Mstaafu Malawi awasili nchini kwa ziara ya kikazi
JamhuriComments Off on Lazarus Chakwera Rais Mstaafu Malawi awasili nchini kwa ziara ya kikazi
Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Mhe. Shirley Ayorkor Botchwey, amewasili nchini tarehe 08 Aprili 2026 kwa ziara ya kikazi. Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, alipokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe.