JamhuriComments Off on Majaliwa amkabidhi Dk Mwigulu nyaraka za ofisi
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akikabidhiwa nyaraka mbalimbali za Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba,  akizungumza wakati alipokabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa makabidhiano ya Ofisi na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko akizungumza wakati wa hafla makabidhiano na Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)