Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na Waumini wa Dini ya kiislam, wananchi mbali mbali na wanakijiji cha Shangani Mkokotoni katika Dua maalum ya kuwaombea wanazuoni na waasisi wa Alhlul twarika pamoja na kuiombea Dua nchi hafla iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa uliopo Shangani Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini ” A ” Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR )
Tarehe 27.03.2026