Makamu wa Rais atoa pole msiba wa Laurencia Mabella
JamhuriComments Off on Makamu wa Rais atoa pole msiba wa Laurencia Mabella
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amefika nyumbani kwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Leonard Qwihaya, Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, kutoa pole kufuatia kifo cha mama mzazi wa Qwihaya Laurencia Shija Mabella.