Mapokezi ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk Emmanuel Nchimbi katika Uwanja wa Dutwa eneo la Mkula Jimbo la Busega, mkoani Simiyu leo Septemba 1, 2025.