Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jijini Mbeya tarehe 04 Septemba, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akigawa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Mbeya.