Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Chadulu, Jijini Dodoma, tarehe 31 Agosti, 2025.