Matukio mbalimbali wakati wa mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama EAC
JamhuriComments Off on Matukio mbalimbali wakati wa mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama EAC
Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akizungumza katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki mara baada ya kuchaguliwa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha, tarehe 07 Machi, 2026. Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akipokea vitendea kazi kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo aliyemaliza muda wake, Rais wa Kenya Mhe. William Somoei Ruto katika Mkutano wa 25 wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha, tarehe 07 Machi, 2026.