Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi
JamhuriComments Off on Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi
Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kufunga Mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi Tanzania zilizofanyika katika Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Kurasini Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2025.