Mgombea nafasi ya Rais CCM Taifa Dk Samia akipokea begi lenye fomu za kugombea
JamhuriComments Off on Mgombea nafasi ya Rais CCM Taifa Dk Samia akipokea begi lenye fomu za kugombea
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Begi lenye Fomu za kugombea nafasi ya Rais kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufani Jacobs Mwambegele katika Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 09 Agosti, 2025. Kushoto ni Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel John Nchimbi