Mgombea nafasi ya urais CCM Dk Samia ahutubia wananchi wa Chamwino
JamhuriComments Off on Mgombea nafasi ya urais CCM Dk Samia ahutubia wananchi wa Chamwino
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chamwino katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Dodoma tarehe 31 Agosti, 2025.