Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan aliposhiriki Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu na Wananchi wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro waliofurika katika Uwanja wa Kilosa Mjini leo August 30,2025.