Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi wagombea
Ubunge wa baadhi ya Majimbo ya Mkoa wa Tanga mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mombo mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Mombo mkoani Tanga tarehe 30 Septemba, 2025.