Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Biteko akipiga kura ya maoni ya kumchagua diwani
JamhuriComments Off on Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dk Biteko akipiga kura ya maoni ya kumchagua diwani
Dkt. Doto Mashaka Biteko Agosti 4, 2025 akiwa ukumbini pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu wa kata ya Bulangwa wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, Ndugu. Paskasi Mlagiri kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la Bukonbe, Mkoani Geita.Dkt. Doto Mashaka Biteko Agosti 4, 2025 akiwa ukumbini pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu wa kata ya Bulangwa wakisikiliza maelekezo kutoka Msimamizi wa Uchaguzi ambaye ni Mjumbe wa kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya Wilaya, Ndugu. Paskasi Mlagiri kuelekea kupiga kura za maoni katika nafasi ya Udiwani na Ubunge Jimbo la Bukonbe, Mkoani Geita.Mtia nia nafasi ya ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko akipiga kura ya maoni ya kumchagua Diwani wa Kata ya Bulangwa, walayani Geita. (Julai 4, 2025)