Mwenyekiti CCM aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali
JamhuriComments Off on Mwenyekiti CCM aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa njia ya kidijitali ambapo ameongea na Wajumbe wa Mkutano huo nchi nzima kwa njia ya mtanadao tarehe 26 Julai, 2025 katika ukumbi wa mkutano wa NEC (White House) Makao Makuu ya CCM, Jijini Dodoma.