Mwenyekiti CCM Taifa na aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri
JamhuriComments Off on Mwenyekiti CCM Taifa na aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.