Mwenyekiti CCM Taifa na Rais Dkt. Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
JamhuriComments Off on Mwenyekiti CCM Taifa na Rais Dkt. Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.