Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Kusini Unguja.