📌Chereko yatajwa na wananchi Banda la REA

📌Majiko ya gesi na majiko banifu yanauzwa kwa bei ya ruzuku

Wananchi wakiwa katika banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili kununua majiko ya gesi na majiko banifu kwa bei ya ruzuku katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini mkoani Geita.

Maonesho hayo yamefunguliwa rasmi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.