JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Kihouthi: Shambulio la Marekani limewaua wahamiaji 68 Yemen

Waasi wa Kihouthi wa nchini Yemen wamesema shambulio la anga lililofanywa na Marekani lililokilenga kituo kinachowashikilia wahamiaji kutoka Afrika limewauwa watu 68. Kamandi kuu ya Marekani haijazungumzia tukio hilo. Taarifa ya Wahouthi iliyotolewa mapema Jumatatu , imesema kando ya watu…

Dk Biteko awasilisha bungeni Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2025/ 2026

📌 Yagusa utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa asilimia 96.5 📌 Upatikanaji umeme wa uhakika. Nishati Safi ya Kupikia, Uendelezaji Gesi Asilia; Baadhi ya vipaumbele vya Bajeti 📌 JNHPP, Usambazaji Umeme Vijijini na Ufikishaji Gridi Kigoma; Baadhi ya mafanikio Bajeti…

Makamu wa Rais akizungumza na Balozi Nchimbi mara baada ya kuwasili nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Balozi. Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini…

Urusi yatoa sharti moja la usitishaji wa mapigano Ukraine

Waziri wa masuala ya kigeni nchini Urusi Sergey Lavrov amesema kuwa Urusi iko tayari kusitisha mapigano bila masharti, lakini “tunataka hakikisho kwamba usitishaji mapigano hautatumika tena kuimarisha jeshi la Ukraine na kwamba usambazaji wa silaha lazima ukome.” Akizungumza na mwandishi…