Latest Posts
Balozi Phaustine ateta na mjumbe wa kamisheni ya Siasa Msumbiji
Leo tarehe 20 Mei 2024, Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Alcinda António de Abreu, Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO. Kupitia mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya FRELIMO…
Mazishi ya Rais wa Iran kufanyika kesho, watangaza siku tano za maombolezo
Chombo cha habari cha Iran, Tasnim, ambacho kina mfungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini humo, kinaripoti kuwa mazishi ya Rais Ebrahim Raisi yatafanyika kesho Tabriz – mji aliokuwa akisafiria jana. Kituo hicho kinasema mazishi ya watu…
Tuna mkakati maalum na Comoro -Dk Janabi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za tiba kwa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo kutoka visiwa vya Comoro kutokana na…
India kukabiliwa na joto kali kwa wiki tatu
Idara ya Hali ya Hewa nchini India imeonya kuwa nchi hiyo inakabiliwa na wimbi la pili la joto kali katika muda wa wiki tatu, ikiwemo maeneo ambayo mamilioni ya watu wanatazamiwa kupiga kura katika uchaguzi wa wiki sita. Idara ya…
Rais Ruto kuanza ziara ya kihistoria nchini Marekani
Rais William Ruto wa Kenya anaanza ziara ya kihistoria nchini Marekani, ambayo inatarajiwa kuwa mapinduzi kwa Kenya yenye kulenga kuimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbilo. Ziara hiyo ambayo ni ya kwanza kwa kipindi cha miaka 15, ilifanyika na rais…
Macron aitisha mkutano mwingine kuhusu New Caledonia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha mkutano mwingine wa dharura wa baraza lake la ulinzi na usalama kwa ajili ya kujadili ghasia zinazoendelea katika kisiwa cha New Caledonia ambacho ni himaya yake. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameitisha mkutano mwingine…