JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Waziri Makamba awasili nchini China kwa ziara ya kikazi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba amewasili nchini China kuanza ziara ya kikazi. Ziara hii mbali na kudumisha ushirikiano wa kidiplomasia wa kihistoria uliopo baina ya mataifa haya mawili ni muendelezo wa utekelezaji wa…

Bil. 97.178/- kutumika ujenzi barabara ya Ifakara – Mbingu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni 97.178 Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imebainisha kuwa Mkandarasi wa Kampuni…

Upatikanaji wa maji wafikia asilimia 66.7 Simanjiro

Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Hali ya upatikanaji wa maji Vijijini katika Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara umefikia asilimia 66.7, huku kukiwa na aina 4 z vyanzo vya maji ikiwa ni pamoja na visima Virefu 76, Visima vifupi 15, mabwawa…

Mabalozi wa Afrika Tanzania kushiriki mbio za Marathon Mei 18,2024

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mabalozi wa Nchi za Afrika nchini Tanzania wanatarajia kushiriki mbio za riadha kuanzia kilomita 5 hadi 15 zitakazofanyika Mei 18 ,2024 Ameyasema hayo leo Mei 15, 2024 Jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mawasiliano Wizara…

Waenda jela miaka 20 kwa ujangili wa Twiga, wakutwa na shehena ya nyama Burunge

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Mahakama ya  Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara imewahukumu kwenda jela miaka 20 kila mmoja wakazi wawili Babati mkoani Manyara baada ya kutiwa hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi, baada ya kukamatwa wakiwa wameuwa Twiga…