JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Latest Posts

Daftari la wapiga kura kuanza kuboreshwa Julai mwaka huu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utafanyika tarehe 01 Julai, 2024 mkoani Kigoma na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa…

Uwekezaji Bandari Kavu Kwala unavyochangia kuimarisha mapato TPA, kuongeza ushindani

Na Stella Aron, JamhuriMedia, Pwani Moja ya changamoto kubwa zilizokuwa zinaikabili Bandari ya Dar es Salaam kuanzia miaka ya 2008 ni msongamano wa meli uliotokana na mrundikano wa Shehena katika Bandari ya Dar es salaam. Plasduce Mbossa ni Mkurugenzi Mkuu…

Waziri Ndejembi aipongeza NSSF kwa kuongeza kasi ukuaji wa mfuko huo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi ameupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kazi ambayo imekuwa ikifanya na kushuhudia kasi ya ukuaji wake….

Watu milioni 7 wanakabiliwa na uhaba wa chakula Sudan Kusini

UMOJA wa Mataifa umetahadharisha kuwa zaidi ya watu milioni saba Sudan Kusini watakabiliwa na uhaba wa chakula katika miezi ijayo. Takwimu hiyo iliyotolewa na Umoja wa Mataifa ni pamoja na maelfu ya wengine ambao hali yao inatajwa kufikia kiwango cha…

Rais Samia akutana na Rais Ufaransa Ikulu Paris

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Ikulu ya Paris nchini Ufaransa kwa ajili ya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron tarehe 14 Mei, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki zasisitizwa ushirikiano kukabiliana na hali mbaya ya hewa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Jaji Mshibe Ali Bakari ametoa rai kwa wataalamu kutoka nchi za Kanda ya Afrika Mashariki kuboresha ushirikiano ili kuweza kukabiliana na changamoto…